Simba atafungwa na Yanga Jumapili

KIBUUUUUUUUUUUUUUU DEEEEEEEE KIBUUUUUUUDEEEEEEEEENGAAAAAA



Kula chuma hicho
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeeh sanaaaa.
 
Eeeh wadau mm nilitabiri na vikosi na kwa staili ya uchezi, nimeeleza wazi ubora wa Yanga na matarijio yangu makubwa kwenye hii game ni Mbele awepo AZIZ KI akiwa ni free role playmaker, lkn sapraiz ya NABI ikanishangaza sana.

Lkn ukisoma hapo nilisema wazi kuwa kama Simba wataopt kumtumia KIBU au SAKHO basi itawabeba.

Apart from matokeo, game iliamuliwa kutokana na selection ya ajabu na ya Kushangaza ya NABI kwa leo hii. Kwa watu wa Mpira tulihisi AZIZ angeanza ili kupunguza kasi ya Viungo wa Simba.

Mnapotoa shutuma muwe mmesoma hoja ya mtoa mada.
 
Mmefungwaa, hayo mengine utajua mwenyewee,
Ungebadilisha heading ya post bas.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mchawambuzi [emoji23]
 
Simba sio mbovu kama inavyokuzwa[emoji817][emoji1548][emoji818]
 
Utetezi wa utelezi [emoji23]
 
Mchambuzi wa mchongo
 
Huwa nashangaa sana watu hasa wale mashabiki wa UTO kuropoka na kubwata kuwa Simba ni mbovu!hii si kweli, kwasababu ukiangalia kwa vigezo vyote mwishoni unaona Simba SC kwa Afrika Mashariki ndio timu Bora,lakini kwanini hujiweka kwenye maneno Simba ni mbovu,Moja ni kupata matokeo waliyokuwa hawapati,mbili kutokufungwa na Simba mara nyingi,basi kwa mazingira hayo wachambuzi kutwa Simba mbovu lakini tunaona tofauti iliyopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…