Simba atafungwa zaidi ya magoli mawiili mashabiki tujiandae kisaikolojia

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Simba mnyama anaingia kambini kwa mechi ya kimataifa niseme tu kwa huzuni hii mechi simba atafungwa magoli mawili nk.

Hakutakuwa na sare...Mpaka sasa naona penalty kwenye hii mechi sijui

Upande ganii ila ft simba atapoteza hii mechi

Wale wa mkeka mpeni mpinzani wake wi na 2 plus

Na mashabiki wanaweza wafanyia fujo wachezaji baada ya mechi napendekeza ulinzi mkali uwepo kwa wachezaji sikuhio na viongozi wake

All d best
 
afya ya akili muhimu sana simba kwa sasa na mashabiki wake tunateseka na afya ya akili bora tujiwekee sawa kisaikolojia kwa hili wengine wasipoteze maisha jaman
 
Simba mnyama anaingia kambini kwa mechi ya kimataifa niseme tu kwa huzuni hii mechi simba atafungwa magoli mawili nk.

Hakutakuwa na sare...Mpaka sasa naona penalty kwenye hii mechi sijui

Upande ganii ila ft simba atapoteza hii mechi

Wale wa mkeka mpeni mpinzani wake wi na 2 plus

Na mashabiki wanaweza wafanyia fujo wachezaji baada ya mechi napendekeza ulinzi mkali uwepo kwa wachezaji sikuhio na viongozi wake

All d best
Pep mnene si karudishwa....
 
Kuna jamaa yangu amesusa hata kufungua page za michezo,, mda wote anacheza magame😂, hatak kuskia chochote,,, hata tarehe ya mechi hajui ni lini?

Yuko sawa kiukweli,, ana enjoy mana hana stresh kabisa
 
Back
Top Bottom