Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Bongo kazi sanaTanzania mpira bado sana.
Simba B wana hali mbaya sana,hawapati posho,hawajalipwa mishahara na baada ya kufungwa na Mtibwa B,inatakiwa wacheze mchezo wa mshindi wa tatu na Yanga ila madogo wamegoma na kama viongozi hawatatatua shida yao,kesho madogo hawachezi mechi na Yanga B.
Msiniulize kuhusu MO, ila soon vilio vya mooooooooo vitasikikaView attachment 1132708View attachment 1132709
Ndiyo soka letuMtu amelala sehemu kama hiyo halafu unategemea eti akashinde mechi....
Ndiyo soka letu
Ndiyo replacement ya timu ATanzania tunasafari ndefu sana kuendelea ki mpira. Kama hawa ndio wanacheza ligi ya vijana halafu wanalala sehemu kama hizi unategemea yupate timu ya taifa bora? Tena wachezaji wa Simba B
Siasa tuYani ni aibu sana mkuu
Eti posho wamekula buku tatu tuDuh wanànuka njaa tupu
Siasa tu
Aliyepiga picha anachukizwa na hii hali anataka ukweli ufahamikeAlafu utashangaa eti aliyepiga picha akaonekana mbaya na kuchuliwa hatua sababu ya kufichua uozo...hii ni zaidi ya Uozo kwa timu kubwa kama Simba.
Hizi Timu ni dili za watu ndiyo maana kila mtu anapigania kuongozaTatizo viongozi wengi wameweka ubinafsi mbele.
Aliyepiga picha anachukizwa na hii hali anataka ukweli ufahamike
Njaa imetamalaki hapo ona hayo magodoro kunguni hawakosi hapoEti posho wamekula buku tatu tu