Simba B hali mbaya wapewa posho ya buku tatu na kukimbia kambi

Simba B hali mbaya wapewa posho ya buku tatu na kukimbia kambi

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
Simba B wana hali mbaya sana,hawapati posho,hawajalipwa mishahara na baada ya kufungwa na Mtibwa B,inatakiwa wacheze mchezo wa mshindi wa tatu na Yanga ila madogo wamegoma na kama viongozi hawatatatua shida yao,kesho madogo hawachezi mechi na Yanga B.

Msiniulize kuhusu MO, ila soon vilio vya mooooooooo vitasikika
1132708
1132709
 
Simba B wana hali mbaya sana,hawapati posho,hawajalipwa mishahara na baada ya kufungwa na Mtibwa B,inatakiwa wacheze mchezo wa mshindi wa tatu na Yanga ila madogo wamegoma na kama viongozi hawatatatua shida yao,kesho madogo hawachezi mechi na Yanga B.

Msiniulize kuhusu MO, ila soon vilio vya mooooooooo vitasikikaView attachment 1132708View attachment 1132709

kiukweli hawana faida na timu.
kwa nini viongozi kiujumla wapo kimasilai sio hivo vipaji.
viongozi wengi wapo kwa ajili ya timu yenyewe na kujua pesa inaingia na kutoka
 
Back
Top Bottom