Simba B hali mbaya wapewa posho ya buku tatu na kukimbia kambi

Poleni sana Simba B. Wenzenu wa Yanga B wanakula tu miposho! Kama vipi muendelee tu na mgomo wenu ili hiyo kesho tuwapige goli nyingi na kuwa washindi wa tatu baada ya jana kutia aibu kwenye upigaji wa penati.
 
nashangaa beki yote ya mtibwa ni ile serengeti iliyotinga michuano ya afrika lakini simba wanaokoteza wachezaji mpaka kocha halafu unataka ushindane afrika
 
Binafsi nampongeza sana kwa ujasiri mkubwa kama huu.
Ujiulizi hayomashindano yana hata zawadi?!! Kama waandaaji wameshindwa kuweka zawadi hata ya kashata!!! Unawalaumu nn washiriki?!! Tff hayo mashindano wame yaandaa ili kutakatisha fedha tu kama sio kichaka cha kutafuna fedha zilizo toka FIFA kwenye makaratasi wataonyesha wametumia bilioni moja na pointi kuandaa mashindano hayo ya vijana, ilihali zawadi tu hakuna, unafikili tff wangetoa pesa nzuri kwa timu shiriki bila shaka timu sizingelia njaa kama hivi.
 
Timu bora Tanzania ni Mtibwa.
Nawale wawekezaji wa mtibwa sugar watambuliwe na taifa kwa kukuza vipaji. Nisiwe mnafiki ile timu ya vijana ya mtibwa inapiga mpira mkubwa sana. Fainali ya leo against azam itakuwa bonge la mechi.
 
Cha ajabu utashangaa hakuna mchezaji yoyote wa u20 wa mtibwa ataintwa ngorongoro heroes.[emoji1787][emoji1787]
 
Alafu utashangaa eti aliyepiga picha akaonekana mbaya na kuchuliwa hatua sababu ya kufichua uozo...hii ni zaidi ya Uozo kwa timu kubwa kama Simba.
Muwe mnatumia basi hata akili kufikiria...kwa hiyo mtu akiwaletea picha yoyote wamevaa jezi nyekundu ni simba,hao sio simba..
 
Vipi tena?
"Kampuni" haina hela?
Hahaaaah naona mashabiki wa ombaomba fc mmeanza kutafutiza picha za kuokota huko ili mutengeneze propaganda muichafue simba.....tangu lini simba wanavaa hizo jezi???πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ...TABU IPO PALEPALE...sisi kama mashabiki wa soka tunamuunga mkono rostam aziz...timu inatakiwa iendeshwe kwa michango ya wanachama na harambeee...pesa zikiisha tunaitisha harambee nyingineπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Tuliwaambia MO anacho kifanya ni wizi.
Hahaaaah naona mashabiki wa ombaomba fc mmeanza kutafutiza picha za kuokota huko ili mutengeneze propaganda muichafue simba.....tangu lini simba wanavaa hizo jezi???πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ...TABU IPO PALEPALE...sisi kama mashabiki wa soka tunamuunga mkono rostam aziz...timu inatakiwa iendeshwe kwa michango ya wanachama na harambeee...pesa zikiisha tunaitisha harambee nyingineπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Poleni sana Simba B. Wenzenu wa Yanga B wanakula tu miposho! Kama vipi muendelee tu na mgomo wenu ili hiyo kesho tuwapige goli nyingi na kuwa washindi wa tatu baada ya jana kutia aibu kwenye upigaji wa penati.
Hahaaaah naona mashabiki wa ombaomba fc mmeanza kutafutiza picha za kuokota huko ili mutengeneze propaganda muichafue simba.....tangu lini simba wanavaa hizo jezi???πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ...TABU IPO PALEPALE...sisi kama mashabiki wa soka tunamuunga mkono rostam aziz...timu inatakiwa iendeshwe kwa michango ya wanachama na harambeee...pesa zikiisha tunaitisha harambee nyingineπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Timu hii ndio hujitapa kwamba ipo level moja na TP MAZEMBE
 
Naona Mr mjuaji ushatinga tetea kwa vigezo wamegoma hawajagoma?
Nani kagoma na kagoma kufanya nini???na kwanini mnaokoteza picha za umisetta na kuwasakizia simba....huko ni kutepwetaaa na ushabiki maandazi....habari kubwa leo ni ROSTAM kasema timu ya wananchi hakuna haja ya kuiendesha kwa mfumo wa kutafuta wawekezaji....timu ya wananchi yanga inatakiwa iendeshwe kwa michango ya wananchi na harambeee...pesa zikiisha tunaitisha harambee nyingine...sisi kama wapenda soka tunamuunga mkono ndugu ROSTAM AZIZ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…