Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujiulizi hayomashindano yana hata zawadi?!! Kama waandaaji wameshindwa kuweka zawadi hata ya kashata!!! Unawalaumu nn washiriki?!! Tff hayo mashindano wame yaandaa ili kutakatisha fedha tu kama sio kichaka cha kutafuna fedha zilizo toka FIFA kwenye makaratasi wataonyesha wametumia bilioni moja na pointi kuandaa mashindano hayo ya vijana, ilihali zawadi tu hakuna, unafikili tff wangetoa pesa nzuri kwa timu shiriki bila shaka timu sizingelia njaa kama hivi.Binafsi nampongeza sana kwa ujasiri mkubwa kama huu.
Nawale wawekezaji wa mtibwa sugar watambuliwe na taifa kwa kukuza vipaji. Nisiwe mnafiki ile timu ya vijana ya mtibwa inapiga mpira mkubwa sana. Fainali ya leo against azam itakuwa bonge la mechi.Timu bora Tanzania ni Mtibwa.
Cha ajabu utashangaa hakuna mchezaji yoyote wa u20 wa mtibwa ataintwa ngorongoro heroes.[emoji1787][emoji1787]Nawale wawekezaji wa mtibwa sugar watambuliwe na taifa kwa kukuza vipaji. Nisiwe mnafiki ile timu ya vijana ya mtibwa inapiga mpira mkubwa sana. Fainali ya leo against azam itakuwa bonge la mechi.
Uwo ndo ujinga sasa.Cha ajabu utashangaa hakuna mchezaji yoyote wa u20 wa mtibwa ataintwa ngorongoro heroes.[emoji1787][emoji1787]
Poleni sana Simba B. Wenzenu wa Yanga B wanakula tu miposho! Kama vipi muendelee tu na mgomo wenu ili hiyo kesho tuwapige goli nyingi na kuwa washindi wa tatu baada ya jana kutia aibu kwenye upigaji wa penati.
Mbumbumbu wagumu kuelewaTuliwaambia MO anacho kifanya ni wizi.
Muwe mnatumia basi hata akili kufikiria...kwa hiyo mtu akiwaletea picha yoyote wamevaa jezi nyekundu ni simba,hao sio simba..Alafu utashangaa eti aliyepiga picha akaonekana mbaya na kuchuliwa hatua sababu ya kufichua uozo...hii ni zaidi ya Uozo kwa timu kubwa kama Simba.
Hahaaaah naona mashabiki wa ombaomba fc mmeanza kutafutiza picha za kuokota huko ili mutengeneze propaganda muichafue simba.....tangu lini simba wanavaa hizo jezi???😂 😂 😂 😂 ...TABU IPO PALEPALE...sisi kama mashabiki wa soka tunamuunga mkono rostam aziz...timu inatakiwa iendeshwe kwa michango ya wanachama na harambeee...pesa zikiisha tunaitisha harambee nyingine😂 😂 😂 😂Vipi tena?
"Kampuni" haina hela?
Hahaaaah naona mashabiki wa ombaomba fc mmeanza kutafutiza picha za kuokota huko ili mutengeneze propaganda muichafue simba.....tangu lini simba wanavaa hizo jezi???😂 😂 😂 😂 ...TABU IPO PALEPALE...sisi kama mashabiki wa soka tunamuunga mkono rostam aziz...timu inatakiwa iendeshwe kwa michango ya wanachama na harambeee...pesa zikiisha tunaitisha harambee nyingine😂 😂 😂 😂Tuliwaambia MO anacho kifanya ni wizi.
Hahaaaah naona mashabiki wa ombaomba fc mmeanza kutafutiza picha za kuokota huko ili mutengeneze propaganda muichafue simba.....tangu lini simba wanavaa hizo jezi???😂 😂 😂 😂 ...TABU IPO PALEPALE...sisi kama mashabiki wa soka tunamuunga mkono rostam aziz...timu inatakiwa iendeshwe kwa michango ya wanachama na harambeee...pesa zikiisha tunaitisha harambee nyingine😂 😂 😂 😂Poleni sana Simba B. Wenzenu wa Yanga B wanakula tu miposho! Kama vipi muendelee tu na mgomo wenu ili hiyo kesho tuwapige goli nyingi na kuwa washindi wa tatu baada ya jana kutia aibu kwenye upigaji wa penati.
Naona Mr mjuaji ushatinga tetea kwa vigezo wamegoma hawajagoma?Muwe mnatumia basi hata akili kufikiria...kwa hiyo mtu akiwaletea picha yoyote wamevaa jezi nyekundu ni simba,hao sio simba..
Nani kagoma na kagoma kufanya nini???na kwanini mnaokoteza picha za umisetta na kuwasakizia simba....huko ni kutepwetaaa na ushabiki maandazi....habari kubwa leo ni ROSTAM kasema timu ya wananchi hakuna haja ya kuiendesha kwa mfumo wa kutafuta wawekezaji....timu ya wananchi yanga inatakiwa iendeshwe kwa michango ya wananchi na harambeee...pesa zikiisha tunaitisha harambee nyingine...sisi kama wapenda soka tunamuunga mkono ndugu ROSTAM AZIZ 😂 😂 😂 😂Naona Mr mjuaji ushatinga tetea kwa vigezo wamegoma hawajagoma?