Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Hawa sio Simba pana wachezaji wawili hapo Alute na Niko nakaanao Kitaa hawajawahi hata kuisikia hiyo Sima B.
Ni picha ya uzushi tu hiyo
Ni picha ya uzushi tu hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa haina baunsa mkuu!Njaa
Then mtu anapiga kelele eti ...tuanataka tuwe kama TP Mazembe au National!Simba B wana hali mbaya sana,hawapati posho,hawajalipwa mishahara na baada ya kufungwa na Mtibwa B,inatakiwa wacheze mchezo wa mshindi wa tatu na Yanga ila madogo wamegoma na kama viongozi hawatatatua shida yao,kesho madogo hawachezi mechi na Yanga B.
Msiniulize kuhusu MO, ila soon vilio vya mooooooooo vitasikikaView attachment 1132708View attachment 1132709
😁😁😁😁Then mtu anapiga kelele eti ...tuanataka tuwe kama TP Mazembe au National!
Tumewapiga 2-0,Bakuli limewaadhibuInatia Huruma kwakwelii
Hapo Kushinda Inakua Ngumuu
Tumewapiga 2-0 ChamaziDalili njema kwetu wananchi. Wao wajiandae kisaiklogia na Ma Muogo Mchungu wanaosajili
Yanga tulikuwa na shida ila tulikuwa tunapanda pipa,sasa ukipanda pipa utalala kama hapo? Na kwa taarifa yako kila mkoa Yanga inapoenda mashabiki wa mkoa husika wanaandaa accommodation na baadhi ya matajiri wamiliki wa hotel waliomashabiki wa Yanga mikoani wanaigombania timu ilale hotelini kwake.Hao Wana afadhali kuliko yanga ya zahera
Ngapi ngapi mkuu?Madogo wako uwanjani muda huu wancheza game yao ya kutafuta mshindi wa tatu..