Simba bado wana nafasi ya kuingia robo fainali

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Kwanza poleni lunyasi. Pamoja na kupokea kichapo toka kwa J.S. Saoura bado mna nafasi kubwa ya kufuzu na kuingia robo fainali. Katika kundi lenu mnapishana kidogo sana. Mfano timu ya kwanza ina pointi nane, zinazofuata mbili zina pointi saba kila moja na Simba ina pointi sita. Mkijipanga vizuri dhidi ya AS Vita mtatoboa. Kazeni buti.
 
Ni kwamba kwa mechi zilizobaki kila mtu akishindia nyumbani simba imepita. Ila kama kuna atakae shida yoyote ugenini simba hapiti.
 
Nafasi ipo ila inahitajika juhudi kubwa kuifikia maana ni kufa na kupona kwa kila timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…