Simba bado wana timu bora kuliko Yanga

Simba bado wana timu bora kuliko Yanga

JFMemba

Senior Member
Joined
Jun 28, 2021
Posts
134
Reaction score
247
Ukiangalia ile mechi ya Simba na Mazembe kiwango walichoonesha ni tofauti sana na kiwango cha Yanga kwa Zanaco na hata mechi ya Kagera. Simba pamoja na kutoa sare na Biashara lakini waliupiga mwingi.

Ligi bado mbichi sana, Yanga wasifarijiwe na Wachambuzi uchwara ambao watawageuka soon.

Mipango ya Yanga kutafuta goli ni disorganized hata ukiangalia goli walilofungwa Kagera litakupa majibu.

Yanga wanatakiwa wapambane haswaa kama wanataka kubeba ubingwa. Hakuna aliyepoteza mchezo kati yao.
 
Subiria muda utupe jibu. Kama mmekaa Morocco mwezi mzima na Arusha mwezi mmzima lakini hata goli hamjashinda ndani ya michezo mitatu je huko kambini mlienda kujifunza nini?

Yanga hata ikiwa sio timu nzuri ni sahihi kwasababu hata kocha mwenyewe wa Yanga kahitaji miezi mitatu kutokana na kutokuwa na muda mwingi wa kuandaa timu
 
Ukiangalia ile mechi ya Simba na Mazembe kiwango walichoonesha ni tofauti sana na kiwango cha Yanga kwa Zanaco na hata mechi ya Kagera. Simba pamoja na kutoa sare na Biashara lakini waliupiga mwingi.

Ligi bado mbichi sana, Yanga wasifarijiwe na Wachambuzi uchwara ambao watawageuka soon.

Mipango ya Yanga kutafuta goli ni disorganized hata ukiangalia goli walilofungwa Kagera litakupa majibu.

Yanga wanatakiwa wapambane haswaa kama wanataka kubeba ubingwa. Hakuna aliyepoteza mchezo kati yao.
Nilivoona kichwa cha Uzi nikajua Luna nondo za maana kumbe hamna kitu.

Hivi unajua kua pressing ni mbinu ya mchezo / kukabia juu? Unajua kua goli Yanga lilitokana na pressing waliyofanya?
 
Ukiangalia ile mechi ya Simba na Mazembe kiwango walichoonesha ni tofauti sana na kiwango cha Yanga kwa Zanaco na hata mechi ya Kagera. Simba pamoja na kutoa sare na Biashara lakini waliupiga mwingi.

Ligi bado mbichi sana, Yanga wasifarijiwe na Wachambuzi uchwara ambao watawageuka soon.

Mipango ya Yanga kutafuta goli ni disorganized hata ukiangalia goli walilofungwa Kagera litakupa majibu.

Yanga wanatakiwa wapambane haswaa kama wanataka kubeba ubingwa. Hakuna aliyepoteza mchezo kati yao.
Sina cha kukuelekeza maana aujui ata masuala ya kiufundi kwenye mpira, mechi ya kagera kwa sisi tunaouelewa mpira kiufundi tulitegemea yanga itakata upepo kipindi cha pili kivyovyote vile kwasababu walikuwa wametoka kucheza dabi ambayo wachezaji walitumia energy kubwa Sana kwenye ile mechi na ilo ni jambo la kawaida kwenye mpira, ile mechi walitakiwa waimalize kipindi cha kwanza lakini umakini wao aukuwa mzuri ivyo kupelekea kuwapa confidence kagera kipindi cha pili ambacho na wao waligundua wachezaji wa yanga wamechoka ndo maana kocha alifanya mabadiliko mengi kipindi icho, sasa iyo mechi usiichukulie Kama kipimo cha kuiona yanga kwamba itaendelea kucheza ivyo kila mechi utakuwa unajidanganya angalia tena mechi ya jumamosi dhidi ya geita gold utapata majibu
 
Kuna Dodoma Jiji baadae!! Ametoka kumfunga mbabe wenu wa msimu uliopita, Ruvu Shooting.

Mkiendelea kupoteza muda kuiwazia Yanga, mtanshangaa mnashika nafasi ya tano mwishoni mwa msimu huu wa ligi.
 
Mnajuaga kujifariji sana Simba imechukua ubingwa wa ligi mara nne mfululizo,imeingia robo fainali Caf champion league mara mbili,wakati huo nyie mpo chooni mmejificha mnavuta harufu ya nya!!utopolo ni shida,yule mbelgiji aliewaita nyani hakukosea kabisa.
Bado Simba akawabeba wanyonge nyinyi angalau nanyi mshiriki michuano ya kimataifa tena mara mbili mkaishiwa kututia aibu kuvuliwa chupi na kukazwa na wapopo uwanja wa mkapa na bado mkamanuliwa na uko Nigeria tena!! Pamoja na aibu mliyo mlio iletea taifa mnashangilia tu kama mazuzu,sijui alewapa jina la chura aliwaza nini?hakukosea kabisa machura kazi yao ni kupiga makelele yakiwa kwenye maji machafu yenye kina kifupi ila ukiyapeleka baharini au ziwani kwenye kina kirefu yanazama na kufa,utopolo chura bin nyani ni shida!!!
 
yanga sio mtu wa kutuumiza kichwa, tunajua kila msimu anaanzaga vizuri kwa mbwembwe za unbeaten, ila kama kawaida baada ya mwaka mpya huwa anakata upepo tena sio kwa kufungwa kwa draw za kutosha. hahaha sasa ngoja tutaona mziki.
 
Ukiangalia ile mechi ya Simba na Mazembe kiwango walichoonesha ni tofauti sana na kiwango cha Yanga kwa Zanaco na hata mechi ya Kagera. Simba pamoja na kutoa sare na Biashara lakini waliupiga mwingi.

Ligi bado mbichi sana, Yanga wasifarijiwe na Wachambuzi uchwara ambao watawageuka soon.

Mipango ya Yanga kutafuta goli ni disorganized hata ukiangalia goli walilofungwa Kagera litakupa majibu.

Yanga wanatakiwa wapambane haswaa kama wanataka kubeba ubingwa. Hakuna aliyepoteza mchezo kati yao.
Wachambuzi uchwara wanawavimbisha kichwa yanga
 
Sina cha kukuelekeza maana aujui ata masuala ya kiufundi kwenye mpira, mechi ya kagera kwa sisi tunaouelewa mpira kiufundi tulitegemea yanga itakata upepo kipindi cha pili kivyovyote vile kwasababu walikuwa wametoka kucheza dabi ambayo wachezaji walitumia energy kubwa Sana kwenye ile mechi na ilo ni jambo la kawaida kwenye mpira, ile mechi walitakiwa waimalize kipindi cha kwanza lakini umakini wao aukuwa mzuri ivyo kupelekea kuwapa confidence kagera kipindi cha pili ambacho na wao waligundua wachezaji wa yanga wamechoka ndo maana kocha alifanya mabadiliko mengi kipindi icho, sasa iyo mechi usiichukulie Kama kipimo cha kuiona yanga kwamba itaendelea kucheza ivyo kila mechi utakuwa unajidanganya angalia tena mechi ya jumamosi dhidi ya geita gold utapata majibu
Mbona Simba walicheza vizuri na badowalitoka kwenye Dabi ?
 
Back
Top Bottom