Ukiangalia ile mechi ya Simba na Mazembe kiwango walichoonesha ni tofauti sana na kiwango cha Yanga kwa Zanaco na hata mechi ya Kagera. Simba pamoja na kutoa sare na Biashara lakini waliupiga mwingi.
Ligi bado mbichi sana, Yanga wasifarijiwe na Wachambuzi uchwara ambao watawageuka soon.
Mipango ya Yanga kutafuta goli ni disorganized hata ukiangalia goli walilofungwa Kagera litakupa majibu.
Yanga wanatakiwa wapambane haswaa kama wanataka kubeba ubingwa. Hakuna aliyepoteza mchezo kati yao.