Nilivoona kichwa cha Uzi nikajua Luna nondo za maana kumbe hamna kitu.Ukiangalia ile mechi ya Simba na Mazembe kiwango walichoonesha ni tofauti sana na kiwango cha Yanga kwa Zanaco na hata mechi ya Kagera. Simba pamoja na kutoa sare na Biashara lakini waliupiga mwingi.
Ligi bado mbichi sana, Yanga wasifarijiwe na Wachambuzi uchwara ambao watawageuka soon.
Mipango ya Yanga kutafuta goli ni disorganized hata ukiangalia goli walilofungwa Kagera litakupa majibu.
Yanga wanatakiwa wapambane haswaa kama wanataka kubeba ubingwa. Hakuna aliyepoteza mchezo kati yao.
Sina cha kukuelekeza maana aujui ata masuala ya kiufundi kwenye mpira, mechi ya kagera kwa sisi tunaouelewa mpira kiufundi tulitegemea yanga itakata upepo kipindi cha pili kivyovyote vile kwasababu walikuwa wametoka kucheza dabi ambayo wachezaji walitumia energy kubwa Sana kwenye ile mechi na ilo ni jambo la kawaida kwenye mpira, ile mechi walitakiwa waimalize kipindi cha kwanza lakini umakini wao aukuwa mzuri ivyo kupelekea kuwapa confidence kagera kipindi cha pili ambacho na wao waligundua wachezaji wa yanga wamechoka ndo maana kocha alifanya mabadiliko mengi kipindi icho, sasa iyo mechi usiichukulie Kama kipimo cha kuiona yanga kwamba itaendelea kucheza ivyo kila mechi utakuwa unajidanganya angalia tena mechi ya jumamosi dhidi ya geita gold utapata majibuUkiangalia ile mechi ya Simba na Mazembe kiwango walichoonesha ni tofauti sana na kiwango cha Yanga kwa Zanaco na hata mechi ya Kagera. Simba pamoja na kutoa sare na Biashara lakini waliupiga mwingi.
Ligi bado mbichi sana, Yanga wasifarijiwe na Wachambuzi uchwara ambao watawageuka soon.
Mipango ya Yanga kutafuta goli ni disorganized hata ukiangalia goli walilofungwa Kagera litakupa majibu.
Yanga wanatakiwa wapambane haswaa kama wanataka kubeba ubingwa. Hakuna aliyepoteza mchezo kati yao.
Kuna Dodoma Jiji baadae!! Ametoka kumfunga mbabe wenu wa msimu uliopita, Ruvu Shooting.Ukiangalia ile mechi ya Simba na Mazembe kiwango walichoonesha ni tofauti sana na kiwango cha Yanga kwa Zanaco na hata mechi ya Kagera. Simba pamoja na kutoa sare na Biashara lakini waliupiga mwingi.
Ligi bado mbichi sana, Yanga wasifarijiwe na Wachambuzi uchwara ambao watawageuka soon.
Mipango ya Yanga kutafuta goli ni disorganized hata ukiangalia goli walilofungwa Kagera litakupa majibu.
Yanga wanatakiwa wapambane haswaa kama wanataka kubeba ubingwa. Hakuna aliyepoteza mchezo kati yao.
Mnajuaga kujifariji sana Simba imechukua ubingwa wa ligi mara nne mfululizo,imeingia robo fainali Caf champion league mara mbili,wakati huo nyie mpo chooni mmejificha mnavuta harufu ya nya!!utopolo ni shida,yule mbelgiji aliewaita nyani hakukosea kabisa.Kuna Dodoma Jiji baadae!! Ametoka kumfunga mbabe wenu wa msimu uliopita, Ruvu Shooting.
Mkiendelea kupoteza muda kuiwazia Yanga, mtanshangaa mnashika nafasi ya tano mwishoni mwa msimu huu wa ligi.
Wachambuzi uchwara wanawavimbisha kichwa yangaUkiangalia ile mechi ya Simba na Mazembe kiwango walichoonesha ni tofauti sana na kiwango cha Yanga kwa Zanaco na hata mechi ya Kagera. Simba pamoja na kutoa sare na Biashara lakini waliupiga mwingi.
Ligi bado mbichi sana, Yanga wasifarijiwe na Wachambuzi uchwara ambao watawageuka soon.
Mipango ya Yanga kutafuta goli ni disorganized hata ukiangalia goli walilofungwa Kagera litakupa majibu.
Yanga wanatakiwa wapambane haswaa kama wanataka kubeba ubingwa. Hakuna aliyepoteza mchezo kati yao.
Mbona Simba walicheza vizuri na badowalitoka kwenye Dabi ?Sina cha kukuelekeza maana aujui ata masuala ya kiufundi kwenye mpira, mechi ya kagera kwa sisi tunaouelewa mpira kiufundi tulitegemea yanga itakata upepo kipindi cha pili kivyovyote vile kwasababu walikuwa wametoka kucheza dabi ambayo wachezaji walitumia energy kubwa Sana kwenye ile mechi na ilo ni jambo la kawaida kwenye mpira, ile mechi walitakiwa waimalize kipindi cha kwanza lakini umakini wao aukuwa mzuri ivyo kupelekea kuwapa confidence kagera kipindi cha pili ambacho na wao waligundua wachezaji wa yanga wamechoka ndo maana kocha alifanya mabadiliko mengi kipindi icho, sasa iyo mechi usiichukulie Kama kipimo cha kuiona yanga kwamba itaendelea kucheza ivyo kila mechi utakuwa unajidanganya angalia tena mechi ya jumamosi dhidi ya geita gold utapata majibu