SIMBA BADO WEWE NI MTALAMU WA SOKA LA KIMATAIFA WENGINE WABABAISHAJI TU

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
4,445
Reaction score
4,707
Hakika Mabingwa wa Soka la Kimataifa ni SIMBA SPORTS CLUB,wengine hawa ni ubabaishaji tu.Rekodi za Taifa letu hakuna Klabu yoyote Tanzania itakayothubutu kuikaribia na ndio maana Omba Omba Yanga wanafurahia kufungwa kwenu kwani mngeshinda mngezidi kuwaacha mbalimbali.Naupongeza Uongozi wa Klabu ,Wanachama na wapenzi wa Mabingwa Simba.Nawashangaa Wapenzi wa Yanga mpira icheze Simba lakini Yanga ndio wanakesha kwenye mitandao kutukana aibu kubwa.Nawakumbusha tu Yanga ,Mabingwa wa historia Al Ahly ya Misri Kafungwa 5-1 Mbona hamshangai ? Eti mnashangaa Simba kufungwa na TP Mazembe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora mgebakia kucheza na Lipuli,Mashuja nk.kuliko kwenda kwenye mashindano msiyoyaweza mechi Sita Goli moja ugenini Timu inafungwa Goli 17 Bado Mnajisifu Upuzi

Coulybaly naye kaweka record mpya manake wacongo walimshindilia bunzi alikuwa anahangaika kulitoa serious uchawi upo. Mabingwa wa kimataifa waambie wakuonyeshe hilo kombe la kimataifa hata moja.
Hakika Mabingwa wa Soka la Kimataifa ni SIMBA SPORTS CLUB,wengine hawa ni ubabaishaji tu.Rekodi za Taifa letu hakuna Klabu yoyote Tanzania itakayothubutu kuikaribia na ndio maana Omba Omba Yanga wanafurahia kufungwa kwenu kwani mngeshinda mngezidi kuwaacha mbalimbali.Naupongeza Uongozi wa Klabu ,Wanachama na wapenzi wa Mabingwa Simba.Nawashangaa Wapenzi wa Yanga mpira icheze Simba lakini Yanga ndio wanakesha kwenye mitandao kutukana aibu kubwa.Nawakumbusha tu Yanga ,Mabingwa wa historia Al Ahly ya Misri Kafungwa 5-1 Mbona hamshangai ? Eti mnashangaa Simba kufungwa na TP Mazembe?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiujumla Tanzania hatuna mpira wowote wa maana..
 
Unazungumziaje kipigo Cha Al Ahly Cha bao 5-1
na kipigo cha Simba cha bao 4-1

lakini pia unazungumziaje kuona mwakani mnashirikisha team 4
2 Championship
2 confederation

je,hizo siyo Juhudi za mpira wa Simba?

au ulitaka awe bingwa??

mbona as Vita katoka na Mwaka Jana alikuwa final ya confederation?
Mbona Al ahl katoka na ni bingwa wa ki history??

kumbuka michuano ya leo ndiyo maandalizi ya kesho.

Simba wametambua makosa yao na na UHAKIKA mwakani watajirekebisha.

Hebu kuweni na shukrani hata kufikiri

Ni Ni mpumbavu pekee ambaye hatoona jitihada za Simba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utalaam wa soka ni mataji. Hakuna kingine.
Hakika Mabingwa wa Soka la Kimataifa ni SIMBA SPORTS CLUB,wengine hawa ni ubabaishaji tu.Rekodi za Taifa letu hakuna Klabu yoyote Tanzania itakayothubutu kuikaribia na ndio maana Omba Omba Yanga wanafurahia kufungwa kwenu kwani mngeshinda mngezidi kuwaacha mbalimbali.Naupongeza Uongozi wa Klabu ,Wanachama na wapenzi wa Mabingwa Simba.Nawashangaa Wapenzi wa Yanga mpira icheze Simba lakini Yanga ndio wanakesha kwenye mitandao kutukana aibu kubwa.Nawakumbusha tu Yanga ,Mabingwa wa historia Al Ahly ya Misri Kafungwa 5-1 Mbona hamshangai ? Eti mnashangaa Simba kufungwa na TP Mazembe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora mgebakia kucheza na Lipuli,Mashuja nk.kuliko kwenda kwenye mashindano msiyoyaweza mechi Sita Goli moja ugenini Timu inafungwa Goli 17 Bado Mnajisifu Upuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Marehemu alipozwa Kuwa na mdomo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni katika kufarijiana baada ya kukutana na Vumbi La Kongo.

Unazungumziaje kipigo Cha Al Ahly Cha bao 5-1
na kipigo cha Simba cha bao 4-1

lakini pia unazungumziaje kuona mwakani mnashirikisha team 4
2 Championship
2 confederation

je,hizo siyo Juhudi za mpira wa Simba?

au ulitaka awe bingwa??

mbona as Vita katoka na Mwaka Jana alikuwa final ya confederation?
Mbona Al ahl katoka na ni bingwa wa ki history??

kumbuka michuano ya leo ndiyo maandalizi ya kesho.

Simba wametambua makosa yao na na UHAKIKA mwakani watajirekebisha.

Hebu kuweni na shukrani hata kufikiri

Ni mpumbavu pekee ambaye hatoona jitihada za Simba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora mgebakia kucheza na Lipuli,Mashuja nk.kuliko kwenda kwenye mashindano msiyoyaweza mechi Sita Goli moja ugenini Timu inafungwa Goli 17 Bado Mnajisifu Upuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nadhani chizi unshitaji matibabu. Yaani "msiyoyaweza"!! Unatamka hivyo!!?? Mlifululiza miaka kibao, hamkufanya lolote, leo wenye uwezo wao wamefika hadi robo fainali unadhihaki. Kapimwe marinda huenda wamekuharibu mpaka imeathiri kufikiri kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mpira wa jana ndio nimetanabahisha kinagaubaga kwamba Simba hawajui soka asilan!
 
Simba wamejitahidi sana makosa waliyonayo Timu nyingi wanayo inatakiwa wajitathmini katika hilo kutofungwa idadi kubwa ya magoli ugenini...Al Ahly ni wa kawaida sana sio wa kutolewa mfano kwa sasa hivi kwa Timu zenye viwango bora kabisa ni Esperance, Wydady na Sundown hao Mazembe nao sio hatari sana kama hao wajuba watatu juu...
 
Mpira wa jana ndio nimetanabahisha kinagaubaga kwamba Simba hawajui soka asilan!
Mkuu mimi sio Simba ila kwenye soka tunasema ukiingia kwenye mfumo wa Timu pinzani hutoki ungekua unajua draft ningekutolea mfano wa mchezo mmoja unaitwa Sumu ya pandu au Tege kuanzishiana ukiingia humo hutoki hata uwe fundi vp ndio maana unaona hata Timu kubwa inafungwa na kutolewa kwa sababu ya mfumo uliotumika kukuingiza usitoke...
 
Ina maana Simba walishindwa kubadilika ili kuwakabili Mazembe!!! mwanzo mwisho wanacheza mpira wa aina moja.....makosa mengine ya wazi kabisa ukabaji wa Simba kuanzia kwenye viungo mpaka beki ulikuwa very poor... Simba bado ni timu mbovu....mpira wao bado ni wa kubahatisha
 
Mkuu ukiwa unazungumza jaribu kukumbuka mechi zingine za Timu kubwa walipokamatwa na kupigwa Al Ahly kapigwa Tano bingwa wa kihistoria wa hilo kombe,Brazil alipigwa 7 kwao,PSG alifungwa na Man kwao huku akiwa na magoli mawili ya ugenini,Wiki iliyopita South Africa kamfunga Libya aliekua anataka sare kwao waliingia kwenye pattern za watu wakafungwa,Simba walibadili viungo lakini haikusaidia ndio makosa kwenye mpira yapo hayo...
 
Nadhani faraja zisizo na tija hazijengi.Kuna jambo ambalo watu hawasemi ukweli , Simba imefungwa magoli rahisi kuliko timu nyingi. Ndiyo, Simba imefika robo fainali LAKINI katika match dhidi ya Mazembe iwapo Simba ingekuwa na kocha kama yule wa Sundon au yule mfaransa aliyeondoka mwaka jana Simba ingeweza shinda match au kufungwa kwa Small margin.Kocha ameshindwa kutengeneza water tight defence hebu angalia Simba away record kuanzia group stage ya kufungwa 16 : 1, hiyo sio sawa.Siandiki kama mnazi wa Yanga au Simba lakini kama mtanzania anayeipenda nchi yake.Najaribu kuota match Simba vs Al Masiri kule Misiri (Last year) ambapo matokeo yalikuwa 0:0 pia .najaribu kuota match ya Yanga Vs Timu ya Zimbabwe sometime back iliyochezwa Harare matokeo : 2 for Yanga na mwisho Match Uganda crane Vs Taifa star kule Uganda matokeo 0 :0. Hizi match tatu hapo juu zinaonyesha pakiwapo na mipango Timu za Tanzania zinaweza kushinda away au kushindwa kwa magoli machache.Samahani kwa kuandika Gazeti LAKINI naomba MO alisome.Kabla ya ku comment maoni yangu soma kila neno kwa makini.Ahsante
 
Back
Top Bottom