mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Hakika Mabingwa wa Soka la Kimataifa ni SIMBA SPORTS CLUB,wengine hawa ni ubabaishaji tu.Rekodi za Taifa letu hakuna Klabu yoyote Tanzania itakayothubutu kuikaribia na ndio maana Omba Omba Yanga wanafurahia kufungwa kwenu kwani mngeshinda mngezidi kuwaacha mbalimbali.Naupongeza Uongozi wa Klabu ,Wanachama na wapenzi wa Mabingwa Simba.Nawashangaa Wapenzi wa Yanga mpira icheze Simba lakini Yanga ndio wanakesha kwenye mitandao kutukana aibu kubwa.Nawakumbusha tu Yanga ,Mabingwa wa historia Al Ahly ya Misri Kafungwa 5-1 Mbona hamshangai ? Eti mnashangaa Simba kufungwa na TP Mazembe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app