mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Kapigwa Bingwa Al ahly mnashangaa simba huo ni UmamaNi katika kufarijiana baada ya kukutana na Vumbi La Kongo.
Hakika Mabingwa wa Soka la Kimataifa ni SIMBA SPORTS CLUB,wengine hawa ni ubabaishaji tu.Rekodi za Taifa letu hakuna Klabu yoyote Tanzania itakayothubutu kuikaribia na ndio maana Omba Omba Yanga wanafurahia kufungwa kwenu kwani mngeshinda mngezidi kuwaacha mbalimbali.Naupongeza Uongozi wa Klabu ,Wanachama na wapenzi wa Mabingwa Simba.Nawashangaa Wapenzi wa Yanga mpira icheze Simba lakini Yanga ndio wanakesha kwenye mitandao kutukana aibu kubwa.Nawakumbusha tu Yanga ,Mabingwa wa historia Al Ahly ya Misri Kafungwa 5-1 Mbona hamshangai ? Eti mnashangaa Simba kufungwa na TP Mazembe?
Sent using Jamii Forums mobile app

Unazungumziaje kipigo Cha Al Ahly Cha bao 5-1Kiujumla Tanzania hatuna mpira wowote wa maana..
Hakika Mabingwa wa Soka la Kimataifa ni SIMBA SPORTS CLUB,wengine hawa ni ubabaishaji tu.Rekodi za Taifa letu hakuna Klabu yoyote Tanzania itakayothubutu kuikaribia na ndio maana Omba Omba Yanga wanafurahia kufungwa kwenu kwani mngeshinda mngezidi kuwaacha mbalimbali.Naupongeza Uongozi wa Klabu ,Wanachama na wapenzi wa Mabingwa Simba.Nawashangaa Wapenzi wa Yanga mpira icheze Simba lakini Yanga ndio wanakesha kwenye mitandao kutukana aibu kubwa.Nawakumbusha tu Yanga ,Mabingwa wa historia Al Ahly ya Misri Kafungwa 5-1 Mbona hamshangai ? Eti mnashangaa Simba kufungwa na TP Mazembe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora mgebakia kucheza na Lipuli,Mashuja nk.kuliko kwenda kwenye mashindano msiyoyaweza mechi Sita Goli moja ugenini Timu inafungwa Goli 17 Bado Mnajisifu Upuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni katika kufarijiana baada ya kukutana na Vumbi La Kongo.
Unazungumziaje kipigo Cha Al Ahly Cha bao 5-1
na kipigo cha Simba cha bao 4-1
lakini pia unazungumziaje kuona mwakani mnashirikisha team 4
2 Championship
2 confederation
je,hizo siyo Juhudi za mpira wa Simba?
au ulitaka awe bingwa??
mbona as Vita katoka na Mwaka Jana alikuwa final ya confederation?
Mbona Al ahl katoka na ni bingwa wa ki history??
kumbuka michuano ya leo ndiyo maandalizi ya kesho.
Simba wametambua makosa yao na na UHAKIKA mwakani watajirekebisha.
Hebu kuweni na shukrani hata kufikiri
Ni mpumbavu pekee ambaye hatoona jitihada za Simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nadhani chizi unshitaji matibabu. Yaani "msiyoyaweza"!! Unatamka hivyo!!?? Mlifululiza miaka kibao, hamkufanya lolote, leo wenye uwezo wao wamefika hadi robo fainali unadhihaki. Kapimwe marinda huenda wamekuharibu mpaka imeathiri kufikiri kwako.Bora mgebakia kucheza na Lipuli,Mashuja nk.kuliko kwenda kwenye mashindano msiyoyaweza mechi Sita Goli moja ugenini Timu inafungwa Goli 17 Bado Mnajisifu Upuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi sio Simba ila kwenye soka tunasema ukiingia kwenye mfumo wa Timu pinzani hutoki ungekua unajua draft ningekutolea mfano wa mchezo mmoja unaitwa Sumu ya pandu au Tege kuanzishiana ukiingia humo hutoki hata uwe fundi vp ndio maana unaona hata Timu kubwa inafungwa na kutolewa kwa sababu ya mfumo uliotumika kukuingiza usitoke...Mpira wa jana ndio nimetanabahisha kinagaubaga kwamba Simba hawajui soka asilan!
Ina maana Simba walishindwa kubadilika ili kuwakabili Mazembe!!! mwanzo mwisho wanacheza mpira wa aina moja.....makosa mengine ya wazi kabisa ukabaji wa Simba kuanzia kwenye viungo mpaka beki ulikuwa very poor... Simba bado ni timu mbovu....mpira wao bado ni wa kubahatishaMkuu mimi sio Simba ila kwenye soka tunasema ukiingia kwenye mfumo wa Timu pinzani hutoki ungekua unajua draft ningekutolea mfano wa mchezo mmoja unaitwa Sumu ya pandu au Tege kuanzishiana ukiingia humo hutoki hata uwe fundi vp ndio maana unaona hata Timu kubwa inafungwa na kutolewa kwa sababu ya mfumo uliotumika kukuingiza usitoke...
Mkuu ukiwa unazungumza jaribu kukumbuka mechi zingine za Timu kubwa walipokamatwa na kupigwa Al Ahly kapigwa Tano bingwa wa kihistoria wa hilo kombe,Brazil alipigwa 7 kwao,PSG alifungwa na Man kwao huku akiwa na magoli mawili ya ugenini,Wiki iliyopita South Africa kamfunga Libya aliekua anataka sare kwao waliingia kwenye pattern za watu wakafungwa,Simba walibadili viungo lakini haikusaidia ndio makosa kwenye mpira yapo hayo...Ina maana Simba walishindwa kubadilika ili kuwakabili Mazembe!!! mwanzo mwisho wanacheza mpira wa aina moja.....makosa mengine ya wazi kabisa ukabaji wa Simba kuanzia kwenye viungo mpaka beki ulikuwa very poor... Simba bado ni timu mbovu....mpira wao bado ni wa kubahatisha
Kwa hiyo kama akibakwa, na simba abakwe?