samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,223
watanzania ni wagumu sana kuambiwa wakaelewa ndioc maana tunafail sana maeneo mengi..
Simba wamecheza mechi 4 ugenini ukiacha mechi ya nkana wameruhusu mabao 17 na kufunga goli 1 pia wamecheza michezo 4 nyumbani wamefunga magoli 6 na kuruhusu 1. Huwezi ukasema una timu nzuri kwa hesabu hizi..
Pia tukumbuke wote waliocheza Dar es salaam wamelalamikia hujuma mpaka pale Mazembe walipokuja na kuitahadharisha CAF juu ya hayo malalamiko na kila mtu Simba alivyoshindwa kumfunga Mazembe Nyumbani..