Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jiandae kisaikolojia tu bana[emoji12]Wafanye mambo basi jamani watu tufuturu kwa raha?
Penati hamuwezi kwenda maana naona refa ana maagizo maalumjamani semeni chochote,tunafedheheka kwa kusubiri kujua kinachoendelea...hii simba ndio maana kombe tumekosa,ila tunaipenda ivo ivo,mpira dk 90..penalt hawa madogo watatuadhirisha wallah!
KanamaagizoRefa kaamua kupeta..
hizo ni habari njema,sisi ndio simba bwana..Penati hamuwezi kwenda maana naona refa ana maagizo maalum
Ushaanza nongwa tulia..Mikia km wanabebwa flan hv
Swaum njemaMbao malizeni mchezo jamani, pressure zimezidi.
Mikia km wanabebwa flan hv
Tehh heehhh....punguzeni mchechetoUshaanza nongwa tulia..
Tuta dhahiri refa kapeta km si maagizo ni nn!Ushaanza nongwa tulia..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio wewe tena?We jiandae kisaikolojia tu bana[emoji12]