Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
chukuaSIMBA TUNAOMBA GOLI
Chukua...SIMBA TUNAOMBA GOLI
Usihusishe simba na futari mkuu maana utashindwa kuila kwa raha na hapo mola hatapokea duwa yakoSimba tafadhali usinihalibie futali yangu..
Hata ukiandika kwa herufi kubwa... Kombe la mbao hili [emoji23][emoji23][emoji23]SIMBA TUNAOMBA GOLI
Mwenzio najiandaa kushangilia ushindi hapa...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio wewe tena?
ushindi upo FifaUshindi bado upo wanamsimbazi