Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
Na malinzi auLeo simba inacheza na timu mbili..Mbao na wale jamaa..
kua mkubwa sometimeGoooooooooooooooooooooooooooh!
kwa kipa ganiTutawapiga kwenye matuta..
Nani pamba?Leo simba inacheza na timu mbili..Mbao na wale jamaa..
Kafunga?Huyu Kichuya anamashuti makali sana
Ukizima ndio unakuwa mshabiki wa nani?mimi nasubiria kwenye penalt ndio niwashe tv,najisikia aibu kuwa mshabiki wa simba
Hata ukiandika kwa herufi kubwa... Kombe la mbao hili [emoji23][emoji23][emoji23]
natamani nihamie mbao tuUkizima ndio unakuwa mshabiki wa nani?