Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Nadhani simba leo wana stress ya zile point 3 za mezani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yebo wamewapa hela..eti wakaze.. hovyo sanaHawa mbao hawa! Madogo eanakaza balaaaaa
USIJALI MKUU!
mTASHINDA KWENYE PENALTY. MKISHINDWA HAPO KWENYE PANALTY HATA MIMI NITAANDAA BARUA KUIPELEKA FIFA..
ha ha watapeleka mkia wa Simba pembeniHawa mbao watakuwa na undugu na popobawa
Dak 15 za awali zimeanza
Hivi Daudi tunatofautiana wapi? Kila nilipo upo, big up hommie.Nadhani simba leo wana stress ya zile point 3 za mezani
mungu ana kazi nyingi na za muhimu za kufanya mkuuMungu ibariki mbao