Simba Bingwa mpya 2017 ASFC: Simba 2 vs 1 Mbao FC

Hawa mbao hata viatu wamenunua lango moja ila sema wanaupenda mpira nadhani hata bure wanacheza ni die hard
 
Ila kama wataenda kwenye 30 mns nadhani sio sawa maana uwanja hauna taa walipaswa kuingia kwenye penati
 
Reactions: SDG
Acha tupigwe tu ili tufanye mabadiliko, tuwaondoe hawa wapiga deal akina Kaburu


USIJALI MKUU!

mTASHINDA KWENYE PENALTY. MKISHINDWA HAPO KWENYE PANALTY HATA MIMI NITAANDAA BARUA KUIPELEKA FIFA..
 
Reactions: SDG
Dak 15 za awali zimeanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…