Mkambarani
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 287
- 251
utasoma namba leo simba kibogoyohawa mbao kwanini wananikatisha utamu kwa leoooo
yap tumesha poteza manara anawaponzaSimba tutapoteza huu mchezo,!
Goal Lao halieleweki?mbao wachawi sana
ha ha kafunga jini mkata kambaGoal Lao halieleweki?
Mnaweka avatar ya ndege eeh, kweli mmeitamani ndegeUshaanza nongwa tulia..
wamakonde wengi ni Simba scMasikini Kasimu Majaliwa anataka kulia