Nifah usijali Arsenal tunashinda bila wasiwasi.Naomba uwe na amani ya moyo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimeshika mdomo
Bado kule FA, uwiiiiii [emoji24]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nifah usijali Arsenal tunashinda bila wasiwasi.Naomba uwe na amani ya moyo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimeshika mdomo
Bado kule FA, uwiiiiii [emoji24]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimeshika mdomo
Bado kule FA, uwiiiiii [emoji24]
kwa kiss hilo hapo usubirie text pmmwaaaaaaaaaaaaaaa
we mtoto bana,daah haya bana...ngoja tushangilie mpira tu...ila umeuteka mtima huku!mwaaaaaaaaaaaaaaa
Acha uchawiMbao karudishaaa
yanga bwana,mwingine alivoona goli kahamia kuanzisha uzi wa barua ya FIFA,nimeishia kucheka tu,hamuishiwi cha kuongea,nahisi hata chama chenu ni kile chakavu!Magoli mepesi ya simba na mbao wakicheza mmmmhhhh
1-1MBAO FC
Ha ha ha ha ha has we mchonganishiNgapi ngap huko jmn