OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Yanga kazimia,sasa hii mechi inamuhusu nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji249] [emoji249] [emoji249] [emoji249]yaani sima tunatakata na kung'ara kwa saaaaaana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimeshika mdomoNakuona ulivyonuna! Chezeya mnyama weye! Pole
pamoja sana mkuu, simba taifa kubwa sema tu ni vile tahira mlinzi aliapa kuibania simba isipate ubingwa ktk utawala wake, jitu jizi na lafi la maaraka na uroho piaNAIPENDA SIMBA MWAAAAA
asante kwa kuja kipande hii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimeshika mdomo
Bado kule FA, uwiiiiii [emoji24]
Mbao walikuwa wanangojea wakafie kwenye penati, na wangeweza kushinda maana Simba wangekuwa wameshatoka mchezoni.Kuongeza dk 30 ni kuwapendelea simba, Yaani zingepigwa penati tu wafungwe tu hao mikia
kheeOVERTIME DAKIKA 15
mwaaaaaagoooooooooooooo