Simba Bingwa mpya 2017 ASFC: Simba 2 vs 1 Mbao FC

Wangesusa na leo mana wanapenda kususa susa haoooo
Ila mpira wetu bado sanaaa jamani
 
Mpira umekwisha hapa.
 
Huu ni msiba wa malinzi na yanga, poleni sana ila ndo hivyo tofauti yenu na simba mtaijua kwenye ukimataifa. Mtapigwa 4G mapemaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…