Simba Bingwa mpya 2017 ASFC: Simba 2 vs 1 Mbao FC

Mbona sielewi, Kuni walikosa penalty au?
 
Mbelekoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Mbao wamekubali nashangaa pale bondeni inawauma nn kwani maji yameisha
 
Club ya Simba imetwàa Ubingwa wa Kombe la FA baada ya Kuichapa Mbao Goli 2-1 Magoli ya Simba Yamefungwa na Kichuya na Blagnon

Simba Sasa itaiwakilisha Tanzania katika Michuano ya shirikisho Barani Africa.
 
FA CUP 2017: Simba yatawazwa kuwa mabingwa wa kombe la shirikisho la Azam baada ya kupata ushindi wa 2-1 dhidi ya Mbao FC katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
lakini kwa waliotazama mechi île ni dhahiri simba wamebebwa pasi na kificho
marefa wa bongo mungu anawaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…