Simba Bingwa mpya 2017 ASFC: Simba 2 vs 1 Mbao FC

Mnaweza kupangiwa Burundi.Kenya.Uganda.Rwanda..so mnaenda na bus...nyie underdogs mnaanzia kwenye qualifying
 
Kwa kweli ndio maana timu zetu huwa hazifiki mbali kwenye michuano ya kimataifa kwa sababu zinafuzu kwa kubebwabebwa tu. Angalia penalti waliopewa simba hivi kweli ni penalti halali?
Pole macho yako yameona hilo tu vipi goli LA mbao refa na mshika kibendera wanatofautiana
 
Yanga wamsukuma Refa Haaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!
 
Kumbe mnaweza kucheza mpira.... Kinachowapeleka kutaka point za bure ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…