mjukuum
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 5,258
- 2,842
SimbaSIMBA SIMBA SIMBA NI FURAHAAAAA TELEEE
Simba
Simba
Simba
Simba
Simba
Simba
Simba
Simba
Simba simba
Simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SimbaSIMBA SIMBA SIMBA NI FURAHAAAAA TELEEE
Wanaogopa yanga aliyewatuma hahahhahahhaaMBAO WANALIA NA REFER HAWANAAKILI
Lazima ikuuuuuuuuumeMbeleko
Caf wasingekuwabali kabisa jina gani mbao bhuanaBORITI ZIKAE KWENYE NDEGE ULISIKIA WAPI
Mpira sio timu moja kuifunga...Yanga alimfunga Kagera Sugar 6..nyie akawapa katerero..Simba underdogsTumewapiga Mara mbili
Yanga wamepigwa Mara mbili
Utofauti ni mkubwaaaaaa sna
simba 2 mbao 1Wengine hatujatazama huo mpira, mkombozi wetu ni JF. Imekuwaje huko?
Pole macho yako yameona hilo tu vipi goli LA mbao refa na mshika kibendera wanatofautianaKwa kweli ndio maana timu zetu huwa hazifiki mbali kwenye michuano ya kimataifa kwa sababu zinafuzu kwa kubebwabebwa tu. Angalia penalti waliopewa simba hivi kweli ni penalti halali?
Nina uhakika umeumia pole sina namnaMpira sio timu moja kuifunga...Yanga alimfunga Kagera Sugar 6..nyie akawapa katerero..Simba underdogs
Hahahaa cyo kwa upole hyo...pole mkuutunajua mkuu...
Goli la Tambwe lilileta point za haki?ohooo walewale wa point za mezani
Utasema mengi lakini. This is SimbaKumbe mnaweza kucheza mpira.... Kinachowapeleka kutaka point za bure ni nini?
Siku yanga wanafungua Goli la mkono ulilalamika pia?ah mbao wameonewa Ile sio penalt kabisa hawa marefa sijui wanawaokota wapi.Hawa wanadumaza soka letu bullshit!