Simba Bingwa mpya 2017 ASFC: Simba 2 vs 1 Mbao FC

Mkuu hawawez kucheza sema wanaweza kubebwa na refa,ngoja tusikie kama watatoa malalimiko dhid ya refa kwa kuwazawadia penat ili next time waombe refa toka nje
 
Wachezaji wenyewe type ya Mavugo halafu msiposhinda uwanjani mnakata rufaa wakati mnajua tatizo lipo wapo. Na leo mshukuru sana Hisani ya Refarii la sivyo huko Msimbazi kingenuka.
 
 
Mwambieni Malinzi akete rufaa. Mlitaka refa afanye nini kama mpira umedakwa?
 
Hongera simba kwa kupokea kombe, sasa ni kupaa na ndege tu
 
Tungechemka leo, Vyura FC aka Miamala FC aka CCM FC wangetukomesha kwa michambooo
 
Huuu usimba na uyanga tutaendelea kuwa mikia mpaka Yesu arudi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…