Na ataumia sana mwaka huu la sivyo anye bogaMalinzi inamkera mnoooooo[emoji12] [emoji13] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ataumia sana mwaka huu la sivyo anye bogaMalinzi inamkera mnoooooo[emoji12] [emoji13] [emoji23]
Kichuyaaaaa... Huwa anakulaza mapema sana [emoji16] [emoji471]Eti wamshukuru Refa....[emoji23][emoji23][emoji23]
Ww ndio wajua hivyo ila sie tunajua ni goal halali kbs.simba na mbao wame droo 1-1
mbao kafungwa na refa.
Leo ndio fainali kombe la ASFC kaa tayari tuwe pamoja
Vikosi vya vitakavyoanza.
Bingwa wa hapa ndio atawakilisha kwenye kombe la Shirikisho Afrika CUF.
![]()
![]()
Mpira umeanza rasmi
Mbao fc 0-0 Simba
Dak 5. Timu zimeanza kwa kushambuliana kwa zamu.
Dak 11 bado milango ni migumu kwa timu zote.
***********************
MPIRA MAPUMZIKO Simba 0-0 Mbao fc.
*******************
Kipindi cha pili kimeanza.
SIMBA 0-0 MBAO.
***********************************
Dak 90 za awali zimekwisha Simba 0-0 Mbao fc... Tunasubiri Daki 30 za pili.!
************************************
MPIRA umeanza Daki 15 za awali......
Gooooooooooooooooo Daki 95
Simba 1-0 Mbao fc ..... mfungaji Fedrick
***********************************
Dak kumi na tano za awali zimeisha tunasubiri kumi na tano za mwisho.
**********************************
Daki 15 za mwisho zimeanza Simba 1-0 Mbao fc.
Goooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Mbao wanapata bao
Dak 109 Simba 1-1 Mbao fc... mfungaji Ndaki.
Goooooo Simba 2-1 Mbao fc penalti Kichuya.
Mpira umekwisha Simba Bingwa
Simba 2-1 Mbao fc
Kadi za njano 3.zimewabeba.Wachezaji wenyewe type ya Mavugo halafu msiposhinda uwanjani mnakata rufaa wakati mnajua tatizo lipo wapo. Na leo mshukuru sana Hisani ya Refarii la sivyo huko Msimbazi kingenuka.
Wewe Ni Chura Fc A.k.a Yeboyebo A.k.a Manjano FcSisi wana Mikia tunamshukuru sana kwa dhati ya Mioyo yetu Refarii wa leo kwa kutuondolea aibu dakika za mwisho maana maji yalizidi unga.
Sisi tutapanda na kufanya vzr, sio nyie kila mkitia mguu out...Mnaweka avatar ya ndege eeh, kweli mmeitamani ndege
ah mbao wameonewa Ile sio penalt kabisa hawa marefa sijui wanawaokota wapi.Hawa wanadumaza soka letu bullshit!