Simba Bingwa mpya 2017 ASFC: Simba 2 vs 1 Mbao FC

Simba Bingwa mpya 2017 ASFC: Simba 2 vs 1 Mbao FC

Mbao nyuma wanamsitu kwahivyo inahitaji.. Simba kubadili mbinu nyingine
 
Kadi ya njano wanapata Mbao Pius
Dak 44
 
Mechi hii huenda mshindi akapatikana kwa goli moja tu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Dakika 45 za Fainali zimekwisha dhidi Simba vs mbao, kila mmoja anatafuta nafasi ya kwenda nje
 
  • Thanks
Reactions: SDG
_20170527_153750.JPG
 
Katika makosa simba walifanya ni kumsajili Mavugo. Huyu mrundi ni ovyo kabisa.Anazidiwa na mrundi mwenzie Tambwe kwa mbali sana.
 
Hivi mbao wakishinda watapata nauli na gharama zingine za usafiri isije kuwa ya mtibwa sugar wakati flani walishindwa kumudu gharama za mashindano ya kimataifa hasa baada ya kupoteza matumaini ila all in all niko pamoja na mbao fc awachape mavugo fc
 
John Boko huenda akawasaidia msimu ujao.
Mhh! naona kama Bocco na Mavugo hawana utofauti.

Angalau haka ka Mavugo kanapiga mashuti ovyo ovyo ili kaonekane ni ka-striker hatari.

Ila kwa Bocco ni yale yale ya wakina Ame Ally Zungu.

Labda tungoje! Huenda akatuprove wrong.
 
Back
Top Bottom