Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
sio kwa uchawi wa mbao,mbao wana amini uchawi sanaSimba watulie, ni kama vile wana papara ya kupata ushindi wa mapema.
uyu naye mzigo sana galasa la wapi hili
sio kwa uchawi wa mbao,mbao wana amini uchawi sana
mbao sio wazuri na ndio maana wamenusulika kushaka darajaTuweke mambo ya uchawi pembeni tuongelee uhalisia wa michezo.
half timeBado Dakika 1 overtime
Mhh! naona kama Bocco na Mavugo hawana utofauti.John Boko huenda akawasaidia msimu ujao.
Huyu Mavugo anakera,ningekuwa nacheza namzaba vibaoKatika makosa simba walifanya ni kumsajili Mavugo. Huyu mrundi ni ovyo kabisa.Anazidiwa na mrundi mwenzie Tambwe kwa mbali sana.