pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,660
- 6,282
Kuna watu wanadai Simba ni mbovu Simba siyo mbovu ni mfumo wa uchezaji ndio umebadilika. Ingawa kosa hili la kubadili mfumo ameuleta Mo simlaumu kwa kuwa nae apenda Simba yenye mafanikio ingawa ulikua siyo mda mwafaka kuleta kocha katikati ya msimu wakati timu ilikua nzuri.
Yote kwa yote hii Simba mnayoiona Leo tena wengi wakidai mbovu itafika nusu fainali ya CAF.
Yote kwa yote hii Simba mnayoiona Leo tena wengi wakidai mbovu itafika nusu fainali ya CAF.