Simba Bora ilifika robo fainali lakini Simba mbovu itafika nusu fainali

Simba Bora ilifika robo fainali lakini Simba mbovu itafika nusu fainali

Kuna watu wanadai simba ni mbovu Simba siyo mbovu ni mfumo wa uchezaji ndio umebadilika. Ingawa kosa hili la kubadili mfumo ameuleta mo simlaumu kwa kuwa nae apenda Simba yenye mafanikio ingawa ulikua siyo mda mwafaka kuleta kocha katikati ya msimu wakati timu ilikua nzuri.

Yote kwa yote hii Simba mnayoiona Leo tena wengi wakidai mbovu itafika nusu fainali ya CAF.

Simba inamtoa wydad inakutana na esperance anachukua chake fainali tunakutana na mamelodi anabena kombe simba inaondoka na medali
 
Back
Top Bottom