pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,660
- 6,282
Huu ni ukweli mchungu sanaKuna watu wanadai simba ni mbovu Simba siyo mbovu ni mfumo wa uchezaji ndio umebadilika. Ingawa kosa hili la kubadili mfumo ameuleta mo simlaumu kwa kuwa nae apenda Simba yenye mafanikio ingawa ulikua siyo mda mwafaka kuleta kocha katikati ya msimu wakati timu ilikua nzuri.
Yote kwa yote hii Simba mnayoiona Leo tena wengi wakidai mbovu itafika nusu fainali ya CAF.
Kashabikie Ihefu uondoe stress Mkuu.Kombe kama kombe au kombe la Chai.
Mie mwanasimba ila sioni hiyo njia
ikifika uitwe Ashura JFNiko paleeeee👉👉👉👉
Una hoja na usikilizweRaja anapasuka kwao,simba ndio bingwa wa afrika msimu huu na wachezaji wafuatao hatutakuwa nao na makocha pia,,,mchezaji john boko kuna tetesi arsenal inamuhitaji,kibu anahitajika na psg,beleke anahitajika na Marseille,kijana wetu onyango na inonga baka real madrid washatuma ofa mzuri tu na Mohamed hussein na kapombe fc porto inawahitaji,mzee mgunda a.k.a jitu la miraba minne anatakiwa na leeds united hii ndio simba
Kombe kama kombe au kombe la Chai.
Mie mwanasimba ila sioni hiyo njia
Sisi ndio simba zamani level zetu zilikuwa ni al ahly,mamelody,esperence,waydad na raja ila kwasasa tumeshawapita ubora kwahiyo nilichokuambia kuhusu hao mastar wetu kuhitajika na vilabu vikubwa naomba uaminiUna hoja na usikilizwe