Simba bora ndio inayomfanya Haji Manara awe bora

Simba bora ndio inayomfanya Haji Manara awe bora

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Inaelekea viongozi wa Yanga hawaelewi wafanye nn kwa sasa ili Yanga irudie makali yake kwani wanatapatapa. Nmeshangaa kuona wanaajiri wasemaji 2 wa klabu ili wapambane na Haji Manara mmoja. Inatia aibu sn. Kwa mtazamo wangu kupoteza mvuto kwa Yanga kumesababishwa na timu kupoteza mvuto ndani ya uwanja. Nilitegemea viongozi uje na mkakati wa kuboresha timu ndani ya uwanja badala hz sarakasi za nje ya uwanja ambazo hazisadii timu kwa chochote zaidi ya kufunika ubovu wa timu uliokithiri karibu kila idara ambao hata mtu asiejua mpira anaweza kuubaini. Viongozi wa Yanga wanapaswa kutambua kuwa Simba bora ndio inayomfanya Haji Manara kuwa msemaji bora. Mkitaka kushindana na Haji Manara tengenezeni timu bora sio hii inayobutua butua mpira. La hivyo mtaendelea kunyanyashwa na kuteseka sn na Manara. Mpaka sasa sielewi kwanini mliwaacha wachezaji km Matheo Antoni,Maka Edward na Haji Mwinyi.
 
simba ndio imepoteza mvuto baada ya kutolewa na UD SONGO, kwa taarifa yako sasa hivi Yanga inafuatiliwa zaidi na mashabiki wa simba kuliko wanavyoifuatilia timu yao ya simba , YANGA NI TIMU YA WANANCHI
 
Mbona mapengo kwa mkapa kwenye match zenu yanakua mengi sana kama ni team pendwa na inayo fatiliwa
 
Manara anatakiwa aondolewe kwenye alipo maana timu inahitaji mtu mwenye staha
 
Ninja yuko USA na Zlatan ,Mkomola yuko Ukraine na Maka yuko Morocco..nyie vijana wenu wameenda Namungo na vitimu vingine vidogo..Manara hana jipya siku atakayoacha kuiongelea Yanga anakufa kifo cha mende
 
Sisi wetu anacheza UEFA. ..

Katika wachaezaji wote hao .Yanga imeambulia shilingi ngapi?
 
Wananchi wenye hasira?
simba ndio imepoteza mvuto baada ya kutolewa na UD SONGO, kwa taarifa yako sasa hivi Yanga inafuatiliwa zaidi na mashabiki wa simba kuliko wanavyoifuatilia timu yao ya simba , YANGA NI TIMU YA WANANCHI
 
kila kukicha mishabik ya yanga inakua mizuzu.... hvi hao akina ninja unajua wamekimbia yanga kwa reason gan?, tatzo ni njaaa ndo maana wamekubali kwenda kucheza ughaibun wapate chochote k2 bt hata klabu haijaambulia chochote
 
Back
Top Bottom