hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 3,553
- 7,334
Kama hawa ndugu zetu wanaoamini ushirikina kwenye zama hizi wamegoma kucheza nashauri wachague uwanja wanaoutaka kwa mazingira wanayoyataka wao.
Sisi Yanga tupo tayari kuwafuata kokote kule mtakapopachagua.
Iwe bunju,msimbazi juu ya ghorofa au kule tandahimba mlipokusanya wazee wenu mliotaka wakapige matambiko hatarishi jana sisi wananchi tupo tayari.
#MPIRA BILA YA USHIRIKINA INAWEZEKANA.