Hii yako nayo imechangia kwenye hizo nyuzi zaidi ya elfu 60.CCM Ndio inapenda vijana Wa Tanganyika waweke nguvu zao huko kwenye simba Na YANGA".
Great Thinker.
Leo Tutaona Nyuzi za Simba na Yanga zaidi ya elfu 60 humu jukwaani.
TUKIWAAMBIA KUSHABIKIA SIMBA NA YANGA NI UPUMBAVU HAMUELEWI.
Hawana timu ya kucheza na Yanga wale wana anza janjajanjaKabisa wasilete janja janja.
Sisi Yanga tupo tayari kokote mda wowote.
Mazoezi mliyofanya wiki nzima hayawatoshi?kama mnajiamini ilikuwaje mkatuma matahira wenu waje kutuzuia kufanya mazoezi jana.wakati sheria na kanuni za TFF zinafahamika?nan waoga kati yetu sisi na nyinyi?
Wewe ni msemaji rasmi wa Yanga uliyepewa idhini na uongozi wa Yanga utuambie haya Watanzania!!??Kama hawa ndugu zetu wanaoamini ushirikina kwenye zama hizi wamegoma kucheza nashauri wachague uwanja wanaoutaka kwa mazingira wanayoyataka wao.
Sisi Yanga tupo tayari kuwafuata kokote kule mtakapopachagua.
Iwe bunju,msimbazi juu ya ghorofa au kule tandahimba mlipokusanya wazee wenu mliotaka wakapige matambiko hatarishi jana sisi wananchi tupo tayari.
#MPIRA BILA YA USHIRIKINA INAWEZEKANA.
View attachment 3263382
Ficha upumbavu wako,tangu asubuhi upo hapa Jukwaani halafu unawabeza wenzako.CCM Ndio inapenda vijana Wa Tanganyika waweke nguvu zao huko kwenye simba Na YANGA".
Great Thinker.
Leo Tutaona Nyuzi za Simba na Yanga zaidi ya elfu 60 humu jukwaani.
TUKIWAAMBIA KUSHABIKIA SIMBA NA YANGA NI UPUMBAVU HAMUELEWI.
Kabisa muhimu mechi iwepo.Suala tu mechi iwepo. Sidhani kama kuna namna nyingine ya kuwasaidia ndugu zetu wa simba. Yaani kwa sababu mlifungiwa mlango wa uwanja na meneje, ndiyo msuse kucheza!! Kuweni serious aisee!
Yale mazoezi ya usiku jana ndo yalikuwa ya kuifunga Yanga?kama mnajiamini ilikuwaje mkatuma matahira wenu waje kutuzuia kufanya mazoezi jana.wakati sheria na kanuni za TFF zinafahamika?nan waoga kati yetu sisi na nyinyi?
Eti Shangaa na wewe!Yale mazoezi ya usiku jana ndo yalikuwa ya kuifunga Yanga?
Tunajua mlifanya bongo movie pale mkajlfanya wale makomandoo wa Yanga wakati mjomba wake Ahmed Ally ndo aliongoza kile kikundi.