Simba chali, yaburuza mkia

Simba chali, yaburuza mkia

MWINY WETU

Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
16
Reaction score
16
SIMBA NI WA MWISHO, WAMEBURUZA MKIA

Ni kweli kuwa Simba wameburuza mkia katika mchuoano wa timu kubwa katika ligi kuu Tanzania Bara.

Licha ya Mchuano wa ligi kuu kwa ujumla lakni kulikuwa na mchuano pia kati ya timu kubwa zilizoshika nafasi ya kwanza hadi ya TATU.

Kama timu moja ingeshinda mechi zote kati ya timu kubwa basi ingepata point 12. Mfano Simba wangewafunga yanga raundi zote mbili na Azam pia basi wangechuku point 12 yaani kwa yanga 6 na kwa Azam 6.

Lakni Simba wameambulia point 3 tu kati ya point 12 ambazo walizipata kwa kutoa Sare mara mbili na Azam na mara moja na yanga.

Azam wao wanafatia kwa kupata point 5 huku yanga ndio akiwa kinara kwa kuchukua point saba dhidi ya timu kubwa.

31db50b6-5d06-46e0-b7ac-424c5af7948d.jpg
 
View attachment 1860728
BASI HONGERA KWA USHINDI WA KISHINDO! Mkatuwakilishe kwenye bonanza pale "VIDIMBWINI" a.k.a jangwani!
 
Hahahhaahaaaaaaa...
Jamani VPL imeshaisha na bingwa ameshapatikana.
Hayo mengine mnajiongezea stress tu cha muhimu jipangeni na msimu unaokuja.
 
SIMBA NI WA MWISHO, WAMEBURUZA MKIA

Ni kweli kuwa Simba wameburuza mkia katika mchuoano wa timu kubwa katika ligi kuu Tanzania Bara.

Licha ya Mchuano wa ligi kuu kwa ujumla lakni kulikuwa na mchuano pia kati ya timu kubwa zilizoshika nafasi ya kwanza hadi ya TATU.

Kama timu moja ingeshinda mechi zote kati ya timu kubwa basi ingepata point 12. Mfano Simba wangewafunga yanga raundi zote mbili na Azam pia basi wangechuku point 12 yaani kwa yanga 6 na kwa Azam 6.

Lakni Simba wameambulia point 3 tu kati ya point 12 ambazo walizipata kwa kutoa Sare mara mbili na Azam na mara moja na yanga.

Azam wao wanafatia kwa kupata point 5 huku yanga ndio akiwa kinara kwa kuchukua point saba dhidi ya timu kubwa.

View attachment 1860728
kombe la mabati
 
Kwa ukinara wao. WAMECHUKUWA KOMBE?
 
Back
Top Bottom