technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Simba solution ni simple tu chukueni pesa alizotoa Mo bilion 20 mnunue wachezaji wenye quality ya kupambana na Yanga.
Acheni uswahili kuficha mambo wakati ubovu wenu tunauona.
Kama Mo alitoa pesa pesa zikowapi si zitumike kuleta wachezaji?
Shida ya Simba ipo kwa Mo sio kwa Kakolanya, Matola au Babra.
Tuliwaambia hapa mmefanya transition kiini macho hamkuelewa kwa maana mlikuwa mnahonga marefa na timu pinzani na kupata matokeo.
Tukawaambia siku mkianza kupata matokeo mabovu Muhindi mtamkataa.
Yako wapi leo mnateseka kwa kinyago mlichokichonga wenyewe.
Simba hakuna uwazi narudia na kuna upigaji mwingi na ujanja ujanja matokeo uwanjani yanawaumbua na yatawaumbua mpaka mgawane fito.
Mnajua kuwa pesa za mbet Mtagawana na Mo?
Je mnajua yanga kwenye ile 49% ya wawekezaji itawekwa bilion 500 na wawekezaji 4 tofauti?
Endeleeni kucheka na kima mtashuka daraja kwa mikakati ya yanga.
Nawatonya tu wekeni presha kwa uongozi wasajili wachezaji wenye hadhi ya kucheza Simba. Simba ni kubwa na ni timu ya watu sio mtu.