Simba chukueni Mudathir, Sure Boy, Kibwana, Moloko na Farid Musa, Kocha wa Yanga hawataki

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kwa vile hawa bado ni Wachezaji wazuri tu wanaweza kusaidia Simba kwenye michuano ya kimataifa.

Taarifa zinaonyesha kwamba kocha wa Yanga hawataki
 
Mbona hujawataja Mkude na Skudu?

Au hao Gamondi anawaelewa?

Mudathiri kabla hajaenda Yanga alikuwa Simba.

Kule kuna upinzani mkubwa hakuweza kupata nafasi ndio maana akaenda Yanga kujaribu nafasi.
 
Mi namtaka skudu aje kumfundisha bocco ki amapiano😀😀😀

Nauliza leo dj naniiii😁😁😁
 
Kwa vile hawa bado ni Wachezaji wazuri tu wanaweza kusaidia Simba kwenye michuano ya kimataifa.

Taarifa zinaonyesha kwamba kocha wa Yanga hawataki

Kuna Duchu, Israh Mwenda, Kennedy Juma, Jimsson Mwanuke, Hawa waende wapi au nao Kocha hawataki
 
Kwa vile hawa bado ni Wachezaji wazuri tu wanaweza kusaidia Simba kwenye michuano ya kimataifa.

Taarifa zinaonyesha kwamba kocha wa Yanga hawataki
Wakiwachukua hao, wale wastaafu wanaotumikishwa kila mechi watapumua aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…