Simba chukueni tahadhari mapema ili kesho isiwe kama leo walivyofanywa Yanga

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Kwa vyovyote vile kesho yanga watataka simba afungwe ili tuwe sawa, naomba uwanja ukasafishwe na takataka zote zikatolewe uwanjani ili kesho Ateba Mbida ateleze tu

Wanasimba kesho mapema tu uwanjani
 
Simba kesho atashinda,
. FT 1 - 0 au
. FT 2 - 1
 
Kwa vyovyote vile kesho yanga watataka simba afungwe ili tuwe sawa, naomba uwanja ukasafishwe na takataka zote zikatolewe uwanjani ili kesho Ateba Mbida ateleze tu

Wanasimba kesho mapema tu uwanjani
Kesho sasa kwa kukosa kwenu uzalendo utaifa na utanzania kesho mnakuwa wa Haiti watumwa ukimbizini,ugenini mnaobaguana.
 
Simba washazoea kufanywa....
Ivo wanapoingia uwanjani wanakuwa na nguvu zote...kwamba liwalo na liwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…