Simba, chukueni tahadhari zote gemu vs Singida ili tusiharibiane siku Alhamisi

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Mchezo wetu na Singida ni mgumu, kuna mikakati hiyo inafanyika Mkwakwani kuhakikisha fainal hatuchezi.

Mambo ya nje ya uwanja ni mengi, mara wamekwenda Mabokweni, mara wako Pangani, mara wako Hale, mara wameenda mwakidila, mara Duga, mara Mahako, aiseee tujihadhari.

Niko Tanga.
 
Mchezo wetu na Singida ni mgumu, kuna mikakati hiyo inafanyika mkwakwani kuhakikisha fainal hatuchezi, mambo ya nje ya uwanja ni mengi, mara wamekwenda mabokweni,.mara wako pangani, mara wako Hale, mara wameenda mwakidila, mara Duga, mara Mahako, aiseee tujihadhari.Niko Tanga.
Mechi inachezwa uwanjani huko wameenda kutafta nini?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mchezo wetu na Singida ni mgumu, kuna mikakati hiyo inafanyika mkwakwani kuhakikisha fainal hatuchezi, mambo ya nje ya uwanja ni mengi, mara wamekwenda mabokweni,.mara wako pangani, mara wako Hale, mara wameenda mwakidila, mara Duga, mara Mahako, aiseee tujihadhari.Niko Tanga.
We kacheze mpira,hayo mengine waachie wenyewe
 
Mchezo wetu na Singida ni mgumu, kuna mikakati hiyo inafanyika Mkwakwani kuhakikisha fainal hatuchezi.

Mambo ya nje ya uwanja ni mengi, mara wamekwenda Mabokweni, mara wako Pangani, mara wako Hale, mara wameenda mwakidila, mara Duga, mara Mahako, aiseee tujihadhari.

Niko Tanga.
Wacha ujima wa imani za kishirikina, mpira unachezwa uwanjani. Usiwajaze watu hofu za kusadikika.
 
Mchezo wetu na Singida ni mgumu, kuna mikakati hiyo inafanyika Mkwakwani kuhakikisha fainal hatuchezi.

Mambo ya nje ya uwanja ni mengi, mara wamekwenda Mabokweni, mara wako Pangani, mara wako Hale, mara wameenda mwakidila, mara Duga, mara Mahako, aiseee tujihadhari.

Niko Tanga.
Huko walikokwenda hukwenda nao?
 
Back
Top Bottom