Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Mechi inachezwa uwanjani huko wameenda kutafta nini?Mchezo wetu na Singida ni mgumu, kuna mikakati hiyo inafanyika mkwakwani kuhakikisha fainal hatuchezi, mambo ya nje ya uwanja ni mengi, mara wamekwenda mabokweni,.mara wako pangani, mara wako Hale, mara wameenda mwakidila, mara Duga, mara Mahako, aiseee tujihadhari.Niko Tanga.
We kacheze mpira,hayo mengine waachie wenyeweMchezo wetu na Singida ni mgumu, kuna mikakati hiyo inafanyika mkwakwani kuhakikisha fainal hatuchezi, mambo ya nje ya uwanja ni mengi, mara wamekwenda mabokweni,.mara wako pangani, mara wako Hale, mara wameenda mwakidila, mara Duga, mara Mahako, aiseee tujihadhari.Niko Tanga.
Utanistua akikujibuMechi inachezwa uwanjani huko wame enda kutafta nini?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Wacha ujima wa imani za kishirikina, mpira unachezwa uwanjani. Usiwajaze watu hofu za kusadikika.Mchezo wetu na Singida ni mgumu, kuna mikakati hiyo inafanyika Mkwakwani kuhakikisha fainal hatuchezi.
Mambo ya nje ya uwanja ni mengi, mara wamekwenda Mabokweni, mara wako Pangani, mara wako Hale, mara wameenda mwakidila, mara Duga, mara Mahako, aiseee tujihadhari.
Niko Tanga.
Simba anafungwa na Singida alafu mbabe wake Mashujaa si amepanda darajaWacha ujima wa imani za kishirikina, mpira unachezwa uwanjani. Usiwajaze watu hofu za kusadikika.
Inahusiana nini na post yangu? Yanga mna upumbavu mwingi sanaSimba anafungwa na Singida alafu mbabe wake Mashujaa si amepanda daraja
Tulia dawa ikuingiaInahusiana nini na post yangu? Yanga mna upumbavu mwingi sana
Kuna timu chawi kama sisi Simba hapa Tanzania?Uchawi hauendi kwa mentali(Simba).
Simba nguvu moja
Umezoea kuingiliwaTulia dawa ikuingia
hakuna tm chawi km nyinyi... nyinyi mmeroga mpk Nje ya NchiKuna timu chawi kama sisi Simba hapa Tanzania?
Dhubutuuuu
Hivi wale waliochoma moto katikati ya uwanja mpaka wakapigwa faini ni timu ipi?hakuna tm chawi km nyinyi... nyinyi mmeroga mpk Nje ya Nchi
Nilipishana nao mkwaja wakat natoka mkaramo naenda sakuraNimewaona Kipumbwi wengine Walienda Duga Maforoni
Huko walikokwenda hukwenda nao?Mchezo wetu na Singida ni mgumu, kuna mikakati hiyo inafanyika Mkwakwani kuhakikisha fainal hatuchezi.
Mambo ya nje ya uwanja ni mengi, mara wamekwenda Mabokweni, mara wako Pangani, mara wako Hale, mara wameenda mwakidila, mara Duga, mara Mahako, aiseee tujihadhari.
Niko Tanga.