SIMBA DAY 08/08/2017: Simba SC 1-0 Rayon sports Uwanja wa Taifa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Kikosi kikipata ''msosi wa kitaalam'' mda mchache kabla ya kuelekea Uwanja wa Taifa

Wakuu kama ilivyoada leo ni siku iliyokuwa ikisubiriwa na kila mdau wa mpira bila kujali itikadi ya timu yake. Ni Simba Day-special kwa ajili ya kukitambulisha kikosi kizito cha Simba SC-Nguvu Moja pale Taifa. Pamoja na shamra-shamra na ndelemo zitakazojiri pale kutapigwa mechi kali kati ya Mnyama na Rayon Sport

Nitakuletea masimulizi hayo moja kwa moja
 
Daah, usajili mkubwa lakini uwakilishi wa kimataifa haupo tena. Poleni ndugu zangu, msimu huu mjitahidi mchukue ubingwa na nyinyi...
 
AZAM HD walisema watakuwa live...sijui wanajiunga saa ngapi.

The Great Gatsby
 
Daah, usajili mkubwa lakini uwakilishi wa kimataifa haupo tena. Poleni ndugu zangu, msimu huu mjitahidi mchukue ubingwa na nyinyi...
Mkuu, si watashiriki kombe la shirikisho la CAF? Au nipo kijijini?

Hate me at your own risk
 
Kudilemba kunona muyangu Gongowazi muyangu, kendalinde mzobazinga Rungune.. aiiiiiiiii [emoji16] [emoji16] [emoji16]

Kama hujanielewa hainihusu
 
Tushawazoea hao, lakini hamna kitu... Ndio sifa za mtu mbumbumbu!
 
Mkuu, si watashiriki kombe la shirikisho la CAF? Au nipo kijijini?

Hate me at your own risk

nafasi hiyo ishaota mbawa wamepewa Wanzanzibar. labda wakishinda rufaa yao waliyokata FIFA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…