OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kikosi kikipata ''msosi wa kitaalam'' mda mchache kabla ya kuelekea Uwanja wa Taifa
Wakuu kama ilivyoada leo ni siku iliyokuwa ikisubiriwa na kila mdau wa mpira bila kujali itikadi ya timu yake. Ni Simba Day-special kwa ajili ya kukitambulisha kikosi kizito cha Simba SC-Nguvu Moja pale Taifa. Pamoja na shamra-shamra na ndelemo zitakazojiri pale kutapigwa mechi kali kati ya Mnyama na Rayon Sport
Nitakuletea masimulizi hayo moja kwa moja