SIMBA DAY 08/08/2017: Simba SC 1-0 Rayon sports Uwanja wa Taifa

Haruna Niyonzima Akitambulishwa Mbele ya Mashabiki wa Simba kwenye Tamasha la Simba Day Linaloendelea Uwanja wa Taifa Muda Huu



Gyan



Okwi



Kocha Mkuu Omong



Jackson Mayanja



Manara







Msemaji wa Simba Haji manara Akiwatambulisha Nahodha Msaidizi Mohamed Husein kwa Mashabiki wa Simba Akiwa Sambamba na Nahodha wa Timu hiyo Mwanjali











































 
Wacha walazimishe furaha maana miaka mitatu hakuna hata kijiko wala kikombe
 
Msimu ulyoipita simba mulituabisha...Msimu huu fanyeni kweli......Acheni migogoro pengeni mpira
 
Siku kama ya leo ndio Manara anawaburuza mashabiki wa mikia maana hata akiwaambia wao ndio mabingwa wa VPL watashangilia naona ana-post picha wachezaji wako hotelini wanakula basi mashabiki wooooote wanamwaga chereko na shangwe [emoji23][emoji23][emoji23] ila Manara fundi jamani.
 
Leo ndio wataona kama wamechukua ubingwa.
Tuwaache leo wajisahulishe kama kuna wakimataifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…