Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kweli....!nafasi hiyo ishaota mbawa wamepewa Wanzanzibar. labda wakishinda rufaa yao waliyokata FIFA.
Rambirambi ya Mafisango waliyokula ndiyo inawatafuna,mpaka warudishe ndiyo watachukua ubingwaDaah, usajili mkubwa lakini uwakilishi wa kimataifa haupo tena. Poleni ndugu zangu, msimu huu mjitahidi mchukue ubingwa na nyinyi...
Leo ndio wataona kama wamechukua ubingwa.Siku kama ya leo ndio Manara anawaburuza mashabiki wa mikia maana hata akiwaambia wao ndio mabingwa wa VPL watashangilia naona ana-post picha wachezaji wako hotelini wanakula basi mashabiki wooooote wanamwaga chereko na shangwe [emoji23][emoji23][emoji23] ila Manara fundi jamani.