Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Kawa kawaida ya Mwamedi,anatumia propaganda kuwatuliza Mambumbumbu yake akishaona hali si shwari upande wake. Manara anamvuruga mno.View attachment 1909296View attachment 1909297
Uto wao wapo busy ba taarabu za manara. Tumetofautiana. Tajiri mmoja anatafuta fursa za timu na timu kubwa lakn tajiri mwingine anatafuta namna ya kupiga hela kupitia mauzo ya vibwengo kwenye jezi
Propaganda afu kazi inaonekana..? Unajua maana ya propaganda..?Kawa kawaida ya Mwamedi,anatumia propaganda kuwatuliza Mambumbumbu yake akishaona hali si shwari upande wake. Manara anamvuruga mno.
Comment yako inaakisi umri wako na uelewa wako pia,,, viwango hupimwa kila mwaka so kulingana na ufanyaji vizuri wa timu kwa mwaka husika, caf/fifa hutoa takwimu kwa mwaka husika pia.Eti leo hii kwenye viwango vya ubora Makorokoro FC (ambao hawajawahi kubeba ndoo ya CAF) iko juu ya AS Vita (ambayo imewahi kubeba ndoo ya CAF).
Amevurugwaaa hataki kukubali ukweliComment yako inaakisi umri wako na uelewa wako pia,,, viwango hupimwa kila mwaka so kulingana na ufanyaji vizuri wa timu kwa mwaka husika, caf/fifa hutoa takwimu kwa mwaka husika pia.
Kwa hiyo unataka kusema brazil ndo inaongoza kwa sasa kwa soka dunia kwa kuwa wao wamechukua world cup mara nyingi?