Simba Day 2021 is Loading, Chapa ilale

Simba Day 2021 is Loading, Chapa ilale

View attachment 1909296View attachment 1909297
Uto wao wapo busy ba taarabu za manara. Tumetofautiana. Tajiri mmoja anatafuta fursa za timu na timu kubwa lakn tajiri mwingine anatafuta namna ya kupiga hela kupitia mauzo ya vibwengo kwenye jezi
Kawa kawaida ya Mwamedi,anatumia propaganda kuwatuliza Mambumbumbu yake akishaona hali si shwari upande wake. Manara anamvuruga mno.
 
Eti leo hii kwenye viwango vya ubora Makorokoro FC (ambao hawajawahi kubeba ndoo ya CAF) iko juu ya AS Vita (ambayo imewahi kubeba ndoo ya CAF).
Comment yako inaakisi umri wako na uelewa wako pia,,, viwango hupimwa kila mwaka so kulingana na ufanyaji vizuri wa timu kwa mwaka husika, caf/fifa hutoa takwimu kwa mwaka husika pia.
Kwa hiyo unataka kusema brazil ndo inaongoza kwa sasa kwa soka dunia kwa kuwa wao wamechukua world cup mara nyingi?
 
Amevurugwaaa hataki kukubali ukweli
 
Taarifa ya Simba day zitatolewa kwenye App, Leo saa mbili usiku.
 
Back
Top Bottom