SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kuna verse ya Tz na africa so wameimba ya tz tu chemsha ubongo broWimbo wa taifa una verses 2, Simba wameimba verse moja, wakamatwe kwaakweli kwa hili.
Kashinda njaaJiandae kisaikolojia Yanga Leo anashinda mechi yake huko Nigeria .Kipigo chako wewe kwenye ngao ya jamii ni wiki ijayo tu Siyo mbali 25/9/2021.Wewe Nyama pori(Simba)Utaliwa na kutafunwa bila huruma .
Yanga imejipanga kweli kweli kuchukua makombe yote msimu huu mkubali mkatae .Ole wao wanaocheka sasa maana badae watalia na kusaga meno.Mashabiki wa Simba mjiandae kisaikolojia
Kwan team ya taifa yenyew inaimbaga verse ngapi?Ukifanya hivyo huo sio wimbo wa taifa na usiseme tuimbe wimbo wa taifa. Wimbo wa taifa lazima uimbwe kwa ukamilifu wake